Where is Hatespeech? Muthama Johnstone speech at Uhuru park: – – – – – – – Wewe Rais, mshahara wako hakuna mtu anajua. Allowance zako hakuna mtu anajua. Pesa ambayo ilibebwa na Anne Waiguru kwa mfuko wake ni wewe tu unajua. Mimi nauliza, huyu Waiguru, kwani ni asali na ikaongezewa sukari? Nitoboe nisitoboe? Nitoboe nisitoboe? [TOBOAAAAAAAA!!] Sisi hatutakaa kitako kuona Waiguru anabeba Millioni mia tisa na Uhuru anasimana na kusema Waiguru si mwizi. Alafu anafukuza mama Ngilu kama mbwa sokoni, lakini huyu kipenzi cha moyo anaambiwa beba. Nitoboe? Nitoboe? Nitoboe? [Audience: TOBOAAAAAAA!!] Uhuru anasema yakwamba, ati walimu wa Rwanda, Burundi and Uganda, wanalipwa zaidi ya walimu wetu. Kama Uhuru umena baada ya kuuza maziwa Uganda, na baada ya kusaidia Nkurunziza kubadilisha katiba kugandamiza waburundi, mimi nakwambia hii ni nchi tofauti kabisa! Na tutakataa katakata kunyanyaswa na mtu yeyote. Uhuru umechukua ulipokuwa Rais, ulichukua Shillingi Billioni nane, ukasema ni za kuandikisha wakenya upya. Mshaona kipande mpya? Ukachukua billioni ishirini na tisa, ukasema ni za laptops. Wananchi mshaona laptops? Wewe Rais, ukatoka bila kujali ukitabasamu bila kujali haki ya Wakenya, ukasema Anglo leasing iliiba 1.4 Billion shillings. Wewe rais, ambaye huna heshima na mtu, ukachukua pesa zetu, Billioni mia mbili, ukaweka bond ya ulaya. Mshaona hizo pesa? Wananchi sasa Uhuru kwasababu yeye alisema ile elimu alitaka, akapita mlango wa nyuma, akawekewa pesa, anataka nyinyi na watoto wenu wakose masomo ndio waendelee kuwa watumwa wa kulamba wale wengine matako yao. Mtakubali? Mtakubali watoto wenu walambe matako? Kwahivo kama watoto wa maskini wako nyumbani, Uhuru ujue, you are not the president of the republic of Kenya. And you are not leading Kenyans. Tunakutaka nyumbani, uende Gatundu, una nyumba ya kutosha, ukae huko na upeleke Anne Waiguru huko. Nitoboe nisitoboe? Nitoboe nisitoboe? [Audience: TOBOAAAAAAAA] Tunajua pesa ulizoiba. Tunajua pesa zimeibiwa na wewe na Ruto. Mnatoa wapi kila wiki Millioni kumi ya kutoa katika harambee? na kabla hamjaenda ikulu, tulikuwa tunajua maisha yenu. Wacheni kutudanganya! – – – – – Where is Hatespeech?

Where is Hatespeech? Muthama Johnstone speech at Uhuru park:
– – – – – – –
Wewe Rais, mshahara wako hakuna mtu anajua. Allowance zako hakuna mtu anajua. Pesa ambayo ilibebwa na Anne Waiguru kwa mfuko wake ni wewe tu unajua. Mimi nauliza, huyu Waiguru, kwani ni asali na ikaongezewa sukari?

Nitoboe nisitoboe? Nitoboe nisitoboe? [TOBOAAAAAAAA!!]

Sisi hatutakaa kitako kuona Waiguru anabeba Millioni mia tisa na Uhuru anasimana na kusema Waiguru si mwizi.
Alafu anafukuza mama Ngilu kama mbwa sokoni, lakini huyu kipenzi cha moyo anaambiwa beba.

Nitoboe? Nitoboe? Nitoboe? [Audience: TOBOAAAAAAA!!]

Uhuru anasema yakwamba, ati walimu wa Rwanda, Burundi and Uganda, wanalipwa zaidi ya walimu wetu. Kama Uhuru umena baada ya kuuza maziwa Uganda, na baada ya kusaidia Nkurunziza kubadilisha katiba kugandamiza waburundi, mimi nakwambia hii ni nchi tofauti kabisa!

Na tutakataa katakata kunyanyaswa na mtu yeyote. Uhuru umechukua ulipokuwa Rais, ulichukua Shillingi Billioni nane, ukasema ni za kuandikisha wakenya upya. Mshaona kipande mpya?

Ukachukua billioni ishirini na tisa, ukasema ni za laptops.
Wananchi mshaona laptops?

Wewe Rais, ukatoka bila kujali ukitabasamu bila kujali haki ya Wakenya, ukasema Anglo leasing iliiba 1.4 Billion shillings.
Wewe rais, ambaye huna heshima na mtu, ukachukua pesa zetu, Billioni mia mbili, ukaweka bond ya ulaya. Mshaona hizo pesa?
Wananchi sasa Uhuru kwasababu yeye alisema ile elimu alitaka, akapita mlango wa nyuma, akawekewa pesa, anataka nyinyi na watoto wenu wakose masomo ndio waendelee kuwa watumwa wa kulamba wale wengine matako yao. Mtakubali? Mtakubali watoto wenu walambe matako?

Kwahivo kama watoto wa maskini wako nyumbani, Uhuru ujue, you are not the president of the republic of Kenya. And you are not leading Kenyans.

Tunakutaka nyumbani, uende Gatundu, una nyumba ya kutosha, ukae huko na upeleke Anne Waiguru huko.

Nitoboe nisitoboe? Nitoboe nisitoboe? [Audience: TOBOAAAAAAAA]

Tunajua pesa ulizoiba. Tunajua pesa zimeibiwa na wewe na Ruto. Mnatoa wapi kila wiki Millioni kumi ya kutoa katika harambee? na kabla hamjaenda ikulu, tulikuwa tunajua maisha yenu. Wacheni kutudanganya!

– – – – –
Where is Hatespeech?

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s